![Tangu Nikujue Yesu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/27/afa71339e3554613aa7c64eadf010fc3_464_464.jpg)
Tangu Nikujue Yesu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Tangu Nikujue Yesu - Florence Andenyi
...
Tangu nikujue Yesu, umekuwa mwema sana,tena ujabadilika umeweka Agano milele,X2
Machozi haya yanaashiria wema wako maishani,nyayo zako zimekuwa njia yangu maishani.
Mikononi mwako haukunifuta ,ulinichora kiganjani. Mabawani mwako ulinificha sikuanguka ooh oh.
Tangu nikujue Yesu umekuwa mwema sana tena ujabadilika umeweka Agano milele X2
Giza lilipo tanda wewe ulileta mwanga, Vita vilipo inuka wewe ulileta ushindi, Moto ulipo waka Mzee wa nne alionekana, katikati ya dhoruba uliyatuliza mawimbi wewe ni Mungu haufananishwi,
Ulipumua pumzi ndani yangu huu mwili ukapona wew ni Baba haulinganishwi.
Tangu nikujue Yesu umekuwa mwema sana, tena hujabadilika umeweka Agano milelex2
Wauzima waupendo wew ni Mungu haufananishwi.