![ASANTE](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/30/ec9180eec67c4b279d6a36b5435cd78f_464_464.jpg)
ASANTE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
ASANTE - Florence Andenyi
...
Machozi yangu yote umefuta Kilio changu changu umebaduli kuwa kicheko Mienendo yangu yote umenyoosha Walionisema vibaya wote umewaaibisha Na magonjwa pia umeondoaa Bila wewe ningekuwa wapi eeh Bali nasema Asantee babaa langu niwewe(ni Mswawewe)ngu(ni wewe) Tegemeo langu (ni wewe) Oooh Yesu (ni wewe) Asante×3 Baba (Asante×3) Kwa wema wako , (asante×3) Kwa fadhili zako, (×3) Baba (Asante×3) Kwa wema wako , (asante×3) Kwa fadhili zako, (×3) Wewe uliko nitoa baba Kamwe mimi sitosahau Wewe uliko nitoa Yahweh Kamwe mimi sitosahauu Mikononi mwa mwa muovu, baba we ulinitoa Mikononi mwa mauti Yesu uliniokoa Na sasa Niko mimi niko huru, wacha nikusifu Adui zako wako waone wivu mana hawanipatiki Umeniweza moyo, umeniweza baba langu niwewe(ni Mswawewe)ngu(ni wewe) Tegemeo langu (ni wewe) Oooh Yesu (ni wewe) Asante×3 Baba (Asante×3) Kwa wema wako , (asante×3) Kwa fadhili zako, (×3) Baba (Asante×3) Kwa wema wako , (asante×3) Kwa fadhili zako, (×3) Asante ×4