![Pokea Sifa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/30/9828fcec088b45b58284ba8b0c74bccf.jpg)
Pokea Sifa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Pokea Sifa - Florence Andenyi
...
pokea sifa...amen*3..kwa matendo yote uliyotenda pokea sifaa.kwa neema yote dunia nzima amen..halleluya......nilikuwa nasimuliwa matendo yako...nikasimuliwa wema wako..nani kama wewe eeh yesu eeh...oooh uliponya vipofu wakaona..tena ukafanya viziwi wakasikia...oooh na ulifanya viwete wakatembea...aah sema kila mwili mikate mitano nilishe watu elfu tano ooooh....yesu eeh..pokea sifa*3amen...kwa matendo yote uliyotenda pokea sifa kwa neema yote dunia nzima..ameeen halleluya oooo.....
ooh nikikosa mavazi utanivisha....tena nikikosa chakula utanilisha...nikikumbwa na magonjwa utaniponya...mponyaji wa roho yangu ni wewe yesu...kimbilio la maisha yangu ni wewe baba...oooooh......kama vile ulituliza bahari yesu..kama vile ulituliza mawimbi baaba...tuliza magonjwa yote leo..tuliza na shida zote leo....
kama vile ulituliza mawimbi baaba..kama vile ulituliza bahari yeesu...tuliza mawazo yangu leo..tuliza kilio changu leo.....ooooh babaaa....
pokea sifa*3ameen*3...kwa matendo yote uliyotenda pokea sifa.kwa neema yate dunia nzima...ameeen...halleluya oooooooo........