![Vumilia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/30/9828fcec088b45b58284ba8b0c74bccf.jpg)
Vumilia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Vumilia - Florence Andenyi
...
Vumilia Yesu Bado anakupenda, vumilia Yesu Bado anakuona, vumilia Yesu Bado atakujibuu, pole poleee.x2.
Ingawa umeamka asubuhi, nahauna chochotee.x2.
Umetafuta kazi kote, haujapataa. umezunguka,miaka mingii hauja fanikiwaa.
Unahisi nikama, yesu Yuko mbaliii. unahisi nikama, baba Yuko mbaliii. hayuko mbali na wewe, Yuko karibu ooh. hayuko mbali na wewe, Yuko karibu ooh.
Vumilia Yesu Bado anakupenda, vumilia Yesu Bado anakuona, vumilia Yesu Bado atakujibuu, pole poleeeh x2.
Kilio hicho, ni Cha muda aah eeeh, mateso haayo, ni ya muda mamaa, magonjwa hayo, ni ya muda heee aah.
Acha kuzunguruka wewe Kwa waganga, acha kuzunguruka wewe Kwa wachawi, Kwa wachawi hakuna msaada aah.
Vumilia Yesu Bado anakupenda, vumilia Yesu Bado anakuona, vumilia Yesu Bado atakujibuu pole pole eeh.x2.
Inua macho yako juu, mtazamie MUNGU ooh. x2.
Tega sikio lako, msikilize MUNGU. x2.
Usisikilize wanadamu hao, wata kushusha moyoo, wanadamu hao hao wata kushusha moyoo.
Msikilize MUNGU mtazamie MUNGU x2.
Hata kuaibisha, hata kuaibishaaa.
Vumilia Yesu Bado anakupenda, vumilia Yesu Bado anakuona vumilia Yesu Bado atakujibuu pole pole eeh!! x3.