
Yule Yule
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Yule Yule - Nadia Mukami
...
No friendzone Nadia Hello baby oops ala nilikosea nilimaanisha hello Freddy How are you baby oooh Ona ata nafsi inakuita Nisipojanjaruka nitapitwa unanipandisha pressure mchana kutwa kila siku weeeeh Formula ya mapenzi nionyeshe Nisije kosea unigombeze Useme hunipendi unilize baby boo x3 Uniitapo sister yanikwaza eti shikilia uzito yaumiza badalake busu kusambaza aki ya Mungu Freddy weeh Yule yule mimi na yeye siku moja tupendane Yule yule anione pasi na urafiki yule yule,Yule yule mimi na yule x2 Wamenibandika jina eti mpenzi mtazamaji weeh na yule Diana mwenyewe ndo mpangaji argh Akaleta beef eti namuibia Si uongo bwana nitamnyakulia Akishindwa kazi nitamchungia Formula ya mapenzi Nionyeshe nisije kosea unigombeze Useme hunipendi unilize miye miyeee.. Uniitapo sister yanikwaza eti shikilia uzito yaumiza badalake busu kusambaza aki tiga goma baby wee... Yule yule mimi na yeye siku moja tupendane Yule yule anione pasi na urafiki Yule yule,yule yule Mimi na yule x2 Nisije kula mizonga wale wakila unono Ama nile tu kwa macho wale wakila na mwili Mimi na yule sherry yeeeh Awe wangu niwe wake yule yule aaaah Kiuno kando kwa kando na yeeeye Yule yule mimi na yeye siku moja tupendane Yule yule anione pasi na urafiki Yule yule,yule yule mimi na yule x2 Yule yule Mimi na yeye siku moja tupendane ( Ka Nadia katambe ) Yule yule anione pasi na urafiki ( anione na yule ) Yule yule,yule yule ( ni mimi na wewe hakuna mwingine baby )mimi na yule Sherry wangu weeh Chini kwa chini na yeye Juu kwa juu na yeye Kando kwa kando na yeye Ka sherry kake ka sherry kangu baby wee..
Similar Songs
More from Nadia Mukami
Listen to Nadia Mukami Yule Yule MP3 song. Yule Yule song from album Yule Yule is released in 2018. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by Nadia Mukami.
Related Tags: Yule Yule, Yule Yule song, Yule Yule MP3 song, Yule Yule MP3, download Yule Yule song, Yule Yule song, Yule Yule Yule Yule song, Yule Yule song by Nadia Mukami, Yule Yule song download, download Yule Yule MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
169433206
cosmas omweri
the most viral
this song [0x1f618]