![Siri Ya Wokovu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/09/330fce7c94224172bb3ee890af724212_464_464.jpg)
Siri Ya Wokovu Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2022
Lyrics
Siri Ya Wokovu - Florence Andenyi
...
Wewe ni Alfa na omega, mwanzo tena mwisho Mungu wangu nakupendaga Uliko nitoa nimbali sana Matendo yako nashindwa kuelezea Nilikuwa nazama wewe ukaniokoa Nilikuwa nashindwa ukaja niwezesha Eeh Yesu unajua, baba unajua aah eeh Mungu anajua Siri ya wokovu wangu×2 Wacha niimbe nimwimbie Yesu wangu Wacha nicheze , nichezee Yesu wangu Amenitoa mbali eeeeh Kwa vinubi na vinanda mimi nitakuimbia Kwa zeze na nderemo Yesu nitakuinua Sifa zikipanda wewe unashuka Sifa zikipanda uponyaji tunapata Sifa zikipaanda wewe unashuukaaa eeeh Yeye×12 Mungu anajua Siri ya wokovu wangu×2 Wacha niimbe nimwimbie Yesu wangu Wacha nicheze , nichezee Yesu wangu Amenitoa mbali eeeeh Pekee yako we ni mungu umetambulika umeinuliwa aah Matendo yako juu yangu mimi ya ajabu sana ndio maana naimba Tuseme Ale×4(aleluya),Twende(aai) Tucheze, tucheze ,tucheze tucheze, tucheze Turuke, turuke, turuke turuke kwa Yeesu Makofi makofi makofi jamani Mungu (anajua) Mungu anajua Siri ya wokovu wangu×2 Wacha niimbe nimwimbie Yesu wangu Wacha nicheze , nichezee Yesu wangu Amenitoa mbali eeeeh Mungu anajua Siri ya wokovu wangu×2 Wacha niimbe nimwimbie Yesu wangu Wacha nicheze , nichezee Yesu wangu Amenitoa mbali eeeeh Tucheze, tucheze ,tucheze tucheze, tucheze Turuke, turuke, turuke turuke kwa Yeesu Makofi makofi makofi jamani Mungu (anajua)