![NIMEMUONA YESU](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/06/6692c9de06c847acbc6e1ee5b56e22af.jpg)
NIMEMUONA YESU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
NIMEMUONA YESU - Florence Andenyi
...
kama petro alivua samaki hola mafanikio usiku huo uliku mgumu,ilikuwa mkavu lakini yesu alipofika,zile nyavu zilijaa samaki nani kama yesu nimemuona yesu,nimemuona baba eeh nimemuona yesu, nimemuona baba nimemuona yesu akitenda, nimemuona baba yeiye nimemuona yesu, nimemuona baba nimengi aliotenda hajawai kunifeli hata siku moja uhai amenipa,baraka za bure amenipa uzima amenipa,uhai wa bure amenipa baba amenipa afananishwe na nani yesu alinganishwe na nani afananishwe na nani yesu alinganishwe na nani anamere meta,yesu unameta meta unamere meta,yesu unameta meta nimemuona yesu, nimemuona baba nimemuona yesu,nimemuona baba nimemuona yesu akitenda,nimemuona baba yeiye nimemuona yesu nimemuona baba nimemuona Yahweh, nimemuona baba