![Mungu Ni Kimbilio](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/26/f717cd8e2dae4f2389826e53ae0ec9f5.jpg)
Mungu Ni Kimbilio Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mungu Ni Kimbilio - Florence Andenyi
...
Mungu ni kimbilio
mungu ni tegemeo
Wakati wote ee
Wakati wote ee
Yeye ni ngome yangu maishani mwangu eeeh
Yeye ni uzima wangu wakati nachoka aa
Wakati nalia aa, wakati nacheka aa
Yeye ni nguzo, yeye ni mwamba imara, imara aa
Yeye ni simba WA yuda, yeye ni simba WA yuda
Wamkimbiliao watapata Baraka, watapata uzima wa milele ee, wa milele ee
Kimbilio langu ni yesu, msaada wangu ni yaweh, imba kimbilio langu ni yesu msaada wangu ni yaweh*2
Nani kama wewe Nani kama wewe hakuna mwingine kama wewe umetambulikaaa, hakuna mwingine kama wewe umetambulikaaa
Mwenye kuponya magonjwa yote haya, umetambulikaa
Mwenye kuokoa Dunia nzima, umetambulikaaa
Baba umetambulika, umetambulikaaa
Yesu umetambulika, umetambulikaaa
Wewe umetambulika, umetambulikaaa
Sema umetambulika, umetambulika aa
Kimbilio langu, ni yesu
Msaada wangu, ni yaweh*3
Kimbilio, Kimbilio, Kimbilio langu ni yesu*2
Wakati nahisi nimechoka, Kimbilio Kimbilio , Kimbilio langu ni yesu*2
Wewe ni mwema adonai, wewe ni mwema aa
Wewe ni mwema olohimu, wewe ni mwema aa*2
Wewe ni mwema mwema mwema, wewe ni mwema aa
Univusha katikati ya simba baba, wewe ni mwema aa
Umenitoa katikati ya maji baba, wewe ni mwema aa
Imba wewe ni mwema mwema, wewe ni mwema aa
Umetambulika umetambulika umetambulika Dunia nzima,
(instruments)
Niwe mlahiyesu wee
Khuilisia etsinzira tsiange, niwe mlahi yesu wee
Ufunikanga na matsai kako, niwe mlahi yesu wee
Imba niwe mlahi yesu wee, niwe mlahi yesu wee
Vola niwe mlahi yesu wee, niwe mlahi yesu wee
Niwe mlahi yesu wee
Niwe mlahi yesu