![Funguo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/30/9828fcec088b45b58284ba8b0c74bccf.jpg)
Funguo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Funguo - Florence Andenyi
...
Yesu nipe funguo, baba nipe funguo
Yesu nipe funguo wa huduma yanguu..
Yesu nipe funguo ,baba nipe funguo
naomba nipe funguo wa maisha yangu
Nipe funguo babaa, nipe funguo yaweeh uu
naomba funguo
Naamka asubuhi naenda tafta riziki,
naondokaa naenda tafta riziki
hili niwalishe ndungu na jamaa zangu
nikifika milango imefungwa ×2
uuu naomba funguo, Yesu , nipe funguo babaa
chorus: Nipe funguo