![JINA LA YESU](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/06/faf6a5464690495c9a1ef4d61002f382.jpg)
JINA LA YESU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
JINA LA YESU - Florence Andenyi
...
Jina Yesu jina lako lagusa moyo
jina Yesu jina lako laponya magonjwa
jina lako Yesu baba jina lako lagusa moyo wangu . jina Yesu jina lako laponya magonjwa. Nimeona jina lako likitenda makuu baba jina lako tu
jina Yesu jina lako laponya magonjwa Sitaogopa milima sitaogopa giza nikiwa na jina la Yesu niko sawasawa*2 Mgonjwa usihofu uliyefungwa usihofu kuna uponyaji unashuka kwa jina la Yesu
jina Yesu jina lako lagusa moyo
jina Yesu jina lako laponya magonjwa. Jina lako Yesu baba jina lako lagusa moyo wangu jina Yesu jina lako laponya magonjwa. Nimeona jina lako likitenda makuu baba jina lako tu. Jina Yesu jina lako laponya magonjwa.
Heri niitanishwe na jina lako milele Heri niunganishwe na jina lako milele Yesu. Jina lako ni taa ya miguu yangu. Jina lako uzima mifupani mwangu. Hakuna aliyeita jina lako akabaki jinsi alivyo oh Jina lako ni power power power Jina lako ni ngao jina lako uzima jina lako ni power power power Jina lako ni ngao maishani mwangu Yesu eeh jina lako uzima mifupani mwangu eeh eh baba jina lako ni power power power Jina lako ni power power power.
Jina Yesu jina lako lagusa moyo jina Yesu jina lako laponya magonjwa. Jina lako ni tamu sana Baba linagusa moyo wangu eh jina Yesu jina lako laponya magonjwa. limeshinda majina yote duniani baba jina lako jina lako jina Yesu jina lako laponya magonjwa Jina Yesu jina lako lagusa moyo jina Yesu jina lako laponya magonjwa Jina lako Yesu Baba jina lako lagusa moyo wangu jina Yesu jina lako laponya magonjwa. nimeona jina lako likitenda makuu baba jina lako tu jina Yesu jina lako laponya magonjwa