![Amepanua Mipaka ft. Rose Muhando](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/04/c534a2d0e6234e698e3f075b9a15b0f2_464_464.jpg)
Amepanua Mipaka ft. Rose Muhando Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Amepanua Mipaka ft. Rose Muhando - Florence Andenyi
...
lyric added by Phellow 254790511905
popote nyayo za miguu yangu zitakanyaga
Mungu umesema nitamiliki
popote nyayo za miguu yangu zitakanyaga
Mungu umesema nitamiliki
nitabarikiwa mashambani
nitabarikiwa na mjini
kapu langu limejazwa ah
amesema ataiamuru kaskazi isizuie
kusini iachilie
baraka zinifikie
amepanua mipaka yangu
milango inifungukie
heshima yangu nipewe
pande zote na nienee baba
amepanua mipaka yangu
ona vile Mungu anapanua mipaka yangu
eh
panua na hema yangu
panua na njia zangu zote
Mungu ana
anapanua mipaka yangu
Yesu ana ah
panua na hema yangu
ona vile ana
panua na njia zangu zote
chochote nitagusa kwa mikono yangu
nitapanuliwa
nitazidishiwa
nitokapo niingiapo
nimebarikiwa
hakuna silaha kinyume changu itafaulu
kazi yangu namiliki
biashara zangu namiliki
masomo yangu namiliki
ndoa yangu namiliki
bonde limejazwa
milima imeyeyushwa
na njia imetengenezwa
amepanua mipaka yangu
kila bonde limejazwa
milima imeshushwa
na njia imetengenezwa
amepanua mipaka yooyoo
ona vile Mungu anapanua mipaka yangu
mipaka yangu
panua na hema yangu
panua na njia zangu zote
ohhoo Yesu ana
anapanua mipaka yangu jamani amepanua
panua na hema yangu
Yesu ameniongeza
panua na njia zangu
amenidhibitisha ooooh
panua na njia zangu zote
anapanua mipaka yangu
jamani amepanua
panua na hema yangu
Yesu ameniongeza
panua na njia zangu zote (amenidhibitisha eeeeh)
Yesu wee Bwana wee
umeniongeza
umenizidisha
ohohoo
lyrics added by Phellow 254790511905