![Bwana Utetenao](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/dc0541716f20449bb14f7e70f6fd11d3.jpg)
Bwana Utetenao Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Bwana Utetenao - Christina Shusho
...
.......e bwana utete nao
(tea nao)
wanaoteta nami (baba)
upigane nao
wanaopigana nami*2
uishike ngao na kigao
nisaidie
usimame unisaidie
utoe na mkuuki uwapige (baba) wanaonifuatia*2
uiambie nafsi yangu mimi ni wokovu wako.
e bwana utete nao(teta nao)
wanaota nami(baba)
upigane nao
wanaopigana nami*2
waibishe
wafedheheshe
wanaonitafuta nafsi yangu
warudishwe nyuma
wafadhaishwe
wanaonitumia mabaya
wawe kama makafi
mbele ya upepo