Amen Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Amen - Christina Shusho
...
Amen!
Asante Yesu
Amen!
Asante Yesu wee
Amen!
Asante Yesu
Amen!
Asante Yesu e
Amen!
Wanitosha wee
Amen!
Wanitosha wee
Amen!
Wewe Nguvu yangu ee
Amen!
Asante Bwana wangu!
Amen!
Asante Yesu
Amen!
"" "" ""
Amen!(uuuh)
Asante Yesu
Amen!(Ahsante!)
Asante Yesu
Amen!(Ahsante)
Ahsante Bwana wangu
Amen!(Ahsante)
Asante Yesu
Amen!
Ahsante!
Amen!
Amen!
Bwana Yesu ninakushukuru,
Nina kila sababu ya kusema Ahsante!
Kwanza kwa zawadi Ya uzima,
Lakini pia kwa yale yote mema uliyonitendea!
Hata kwa yale ambayo sijaona kwa macho yangu ya nyama,
Wacha niseme Ahsante!
Maana najua kwa wakati wako utatenda!
Amen!
Baba Ahsante kwa milima,
Baba Ahsante kwa mabonde!
Ahsante kunipigania vita
Umenifanya dhahabu Safi
Baada ya moto mkali
Ahsante kwa hatua nyingine
Na ngazi nyingine
Natamani siku moja niitwe mbarikiwa wa Bwana
Maana Neno lako linasema,
Unatuwazia mawazo mema,
Tena ya amani,
Ya kutupa tumaini siku zetu za mwisho
Haleluya!
Ahsante Yesu
Amen!
Ahsante Baba
Amen!
Ahsante mfalme
Amen!
Mfalme wangu
Amen!
Asante Yesu
Amen!
Ahsante kwa Jana
Ahsante kwa Leo
Ahsante na kesho Baba
Amen!
A M E N
---_---