Kitabu cha Bwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Kitabu cha Bwana - The Saints Ministers
...
N’a penda,kitabu tchake
Kilitcho toka mbinguni
Baruha
Kwangu mimi
Y’a bwana
Ujumbe wake wa pendo
Baruha
Kwangu mimi,y’a bwana
Ujumbe wake wa pendo
Mapenzi y’a muumbaji
Yame funuliwa humo
Hazina kuu y’a Hekima
Utajiri wa ajabu
Mwangaza wa ulimwengu
Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Neno Nuru yake
Nyota y’a FURAHA
Sura yake YESU
N’a ona
Takatifu
Karatasi zime kuwa
Nyayozake za mwongozo
Takatifu
Karatasi zime kuwa
Nyayozake za mwongozo
Mapenzi y’a muumbaji
Yame funuliwa humo
Hazina kuu y’a Hekima
Utajiri wa ajabu
Mwangaza wa ulimwengu
Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Neno hili tamu
Nime li onja
Kubwa la ASALI
Faraja kuu
Ni upanga!
Wa roho kwa wa amini
Lita simama milele
Ni upanga!
Wa roho kwa wa amini
Lita simama milele
Mapenzi y’a muumbaji
Yame funuliwa humo
Hazina kuu y’a Hekima
Utajiri wa ajabu
Mwangaza wa ulimwengu
Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Mapenzi y’a muumbaji
Yame funuliwa humo
Hazina kuu y’a Hekima
Utajiri wa ajabu
Mwangaza wa ulimwengu
Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Uwe mwandamizi pote
Taa ya hatuwa zangu
Uwe mwandamizi pote
Taa za hatuwa zangu
Écrit par PREFACE Mumbe re