![U Mkuu Mwokozi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/12/624386e03bb745f39cb55c9043699c48.jpg)
U Mkuu Mwokozi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
U Mkuu Mwokozi - The Saints Ministers
...
Umkuu mwokozi wangu, sifa zote tamimina kwako, takushukuru siku zangu zote, hadi mavumbini x2
chorous; upendo ulonionyesha bwana, nikukimata mijeledi yote, kifo chako ni uhai kwetu, milele tuwashindi x3
Machungu ulopitia yahuzunisha,mchafu mie nisafiwe niwe huru, hata kaburi ulitwaa ushindi pale, milele tuwashindi x2
chorous; Upendo ulonionyesha bwana, nikukimata mijeledi yote, kifo chako ni uhai kwetu, milele tuwashindi x3
* milele tuwashindi.....kifo chako ni uhai kwetu, milele tuwashindi...