![Dala Dala](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/20/509441fb3d014e6998b6a5444fa61cb8.jpg)
Dala Dala Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2021
Lyrics
Dala Dala - Lady Jaydee
...
Muda umepita umenifanya nikae chini nitafakari
Kumbe ni mbali tumetoka mmmh
Muda umepita umenifanya nikae chini nitafakari
Shida zangu naweka chini
Kwangu najiamini
Kwa penzi lako mi matekaaa
Nipe mavitu nikupe mavitu ahaa
Aenjoy kila mtu ahaa
Hii ndiyo thamani ya penzi
Penzi ni Dala dala, (Dala Dala)
Dala Dala, (Dala Dala)
Ukichoka we unashukaaa
Wengine wanapandaaa
Penzi ni Dala Dala, (dala dala)
Dala Dala, (Dala Dala)
Ukichoka we unashukaaa
Wengine wanapandaaaa tu
Yanini nijipe mastress bure (buuure)
Life is tough, wewe pia tough
Si ntaumia mwenzio
Let me live my life (live my life)
And you leave my life (leave my life)
Ukitaka tuenjoy ukichoka we sepa kosa dunia
(mmmm eeeeeee)
Subiri siku moja
Subiri siku saba
Subiri siku nane
Penzi ni Dala Dala, (Dala Dala)
Dala Dala, (Dala Dala)
Ukichoka we unashukaaa
Wengine wanapandaaaa tu
Penzi ni Dala Dala, (Dala Dala)
Dala Dala, (Dala Dala)
Ukichoka we unashukaaa
Wengine wanapandaaaa tu
Yanini nijipe mastress bure (buuure)
Life is tough, wewe pia tough
Si ntaumia mwenzio
Let me live my life (live my life)
And you leave my life (leave my life)
Ukitaka tuenjoy ukichoka we sepa kosa dunia
Dala Dala
Mi mwenyewe nasubiri kila siku Dala Dala
(Mmmmm eeeeeee)
(Mmmmm eeeeeee)