Yahaya Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Yahaya - Lady Jaydee
...
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
nyumba namba haijurikani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya x2
Huyu Kijana mwenzetu
kila siku tupo nae maskani
anakula ofa za watu anapoishi
hata hapajulikani tumetafuta
tumeuliza hakuna ajuae
anavyo zuga anavyo pita
si umzaniae na hafanani
kabisa na fiksi anazofanyaaa akidanganya kwa kina
unaingia kingi unafata
kumbe hana hela
(longo longo nyingi)
Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
nyumba namba haijurikani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya x2
Kwa stori za vilingeni
utafikiri kweli yeye ndio
boss suruali zake
na mashati anasema
anafanya kazi benki
mara anasema usalama
wa Taifa hakuna ajuae
karubandika wa kizazi
kipya usomzaniae
nahafanani
kabisa na fiksi
anazofanyaaa akidanganya
kwa kina
unaingia kingi unafata
kumbe hana hela
(Oooh Yahaya)
Yahaya unaishi wapi
jina lako halisi nani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya
Maskani yako Kinondoni
nyumba namba haijurikani
Yahaya eeee
Oooh Yahaya oooh
Yahaya oooh Yahaya x2
Mara anasema
usalama wa Taifa
hakuna ajuae karubandika
wa kizazi kipya
usomzaniae nahafanani
kabisa na fiski anazo
fanya akidanganya
kwa kina unaingia
kingi unafata kumbe hana hela
Yahaya unaishi wapi
jina lako halisi nani
Yahaya eeee
Maskani yako Kinondoni
nyumba namba haijurikani
Yahaya eeee