![I Found Love w/ Rama Dee](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/13/7c3ac9255c2c4bf0b4cbd20408680258_464_464.jpg)
I Found Love w/ Rama Dee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
I Found Love ft. Rama Dee - Lady Jaydee
...
I found love, i found love
Haya sio mapenzi this is magic
I found love , i found love
Ata kueleza siwezi this is magic
If you love i love you too
Tushavuka mipaka ka kunipenda unanipenda tu
Na wala sina mashaka
Breakfast in the morning unanipa supu matata
Twende wote jikoni si hadi break nimepaka
You're my heart nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
...
Popo lipo popo kalale nacho kidali poo
Swee for me nirudishe utotoni
Popo kipolipo pembeni yako nami nipo
Sikomi nirudishe utotoniii
Kwanza ukiacha love si ni marafiki
Nisogezee huo mkono ni ushike
Wavibandia watupishe
Ya nyuma ushasahau kwa mikikimikiki eeh
We ndo umefanya nifike leka kwa yaya chipite
You're my heart nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
Popo lipo popo
Popo kipolipo