![Joto Hasira ft. Prof.Jay](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/18/FC/rBEezlthuMmAX-ZsAADycZxm390875.jpg)
Joto Hasira ft. Prof.Jay Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Joto Hasira ft. Prof.Jay - Lady Jaydee
...
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Kila siku nimenuna
Kwa nini tunagombana
Tena tunakosoana
Ni kama tumechanganyikiwa
Na sioni hata maana
Ya sisi kuzinguana
Yaani kila mtu anajua sana
Au yote sababu ya sababu ya
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Mazao twalima wote
Sahani wavuta kwako
Kama chakula tule wote
Kwa nini chote kije kwako
Kisu mpini umeshika wewe
Eti tishio kunikata mimi
Mmmhh
Au yote sababu ya sababu ya
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Uuuuhh sahau sahau shida
Ooh ishi kama ziliisha jana
Say goodbye joto rest in peace shida
Knock knock money knock knock money
Wenyewe wanasema usawa unakaba
Na rafiki wa kweli ni mama na baba
Hao wengine wala usiwaamini maana binadamu wa sasa wana roho saba
Watakuwa na wewe kwenye raha na hawatakuwa na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu peke yangu niruke peke yangu na woga nilikataa
Aah nabadilika kama saa
Na siku hazigandi na sitakata tamaa
Wamejaa usaliti na chuki watu wa karibu wanageuka mamluki
General nasonga iwe joto baridi naamini tutashinda
Kama mbwai iwe mbwai barida
We make more money rest in peace shida
Ukinuna unataka tunune wote
Ukilia unataka tulie wote
Vita vyako tunapigana wote
Tukishinda tushinde au mbona tufe wote
Kama kulima kote tumelima wote
Hata kupanda kote tumepanda wote
Kupalilia tumepalilia wote
Aagh nashangaa sasa mbona hatuvuni wote
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Hili joto hasira ambaa
Upepo hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa
Foleni njia nzima ambaa
Na pesa hakuna ambaa
Naruka mwenyewe yelela yelela ambaa