![Mambo Matano](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/17/3424d62c8c3d463d992f5dbbb4ac637c_464_464.jpg)
Mambo Matano Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Mambo Matano - Lady Jaydee
...
Andazi halichagui chai ...ghafla disco likangia masai.
kumbe mwenzake nilifocus mbaali....mmh na kunifikia inataka utayari..... Si alitaka mwenyewe kutengana na mimi... hivi mwembamba ama mnene hebu semeni nyinyi.
Na zile tambo za mujini pindi yupo na mimi, saivi viatu anachanganya na vyombo natia kabatini.
Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze....mnasemaje huko yuko sawa mnielezee ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze... Moja me huwaga sina pressure.. leo sisemi sana nina mambo matano. Pili mjini sijaja kucheza...leo sisemi sana nina mambo matano... Tatu sifundishwi kupenda, leo sisemi sana nina mambo matano, Nne sirudishi mateka, leo sisemi sana nina mambo matano. Me huwaga sina pressure, leo sisemi sana nina mambo matano, Pili mjini sijaja kucheza, leo sisemi sana nina mambo matano... Tatu sifundishwi kupenda leo sisemi sana nina mambo matano... Nne sirudishi mateka...leo sisemi sana nina mambo matano. Tano moyo wangu me ni treasureee.....§§§.
Huku mwenzake naenjoy naongezeka thamani....hapa nilipo mnitoi(HAMNITOI) mana naiona amani....
Naiona fursaaaa... naiona future....nishaweka nuktaaa..Naenjoy.
Naiona true love.. naiona hubaaaa na sipotezi mudaaa.
Mnasemaje huko yuko sawa mnielezee..ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze.... mnasemaje huko yuko sawa mnielezee...ama mnamwonaje anajikongoja dozedoze.