![I Miss You](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/4A/0D/rBEeMVm3fyOAci6sAAEPy00ykCk126.jpg)
I Miss You Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Aaah Aaaah Aaaah Aaaah we acha tu
I miss you
Nimekaa nakufikiria hapa
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka niko njiani
Inabidi uwe jirani unipe furaha
Hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi, ninavyohisi nikiwa nawe
Kwako nimefika
Nataka uwe nami, Kila siku
Uwe nami, niwe nawe iwe mchana na usiku aaaah
Uwe jirani , uwe nami, tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu yeah
Na inabidi uwe hapa, bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi, nagubikwa na mashaka niondoe wasiwasi
Naomba urudi fasta, Ujue
Upweke na hofu ni juu yako
Nimeku miss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachwelewa nataka nitue hapo
Aaah Aaah Aaah Aaah we acha tu
I miss you
Nimekaa nakufikiria hapa
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days n nights
Nimechoka niko njiani
Inabidi uwe jirani unipe furaha
Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuuuh !!
Itakuwa ngumu sana na nikawaza uuuh
Where you are, you are far away
Come back home
It's not the same without you baby
Come back home
I need you here with me
Come back home
Tears on my pillow eeeeeh
Narudi nijifariji kuona karibu
Utarudi nyumbani
Haielezeki
Ooooh I miss you
Aaah Aaah Aaah Aaah we acha tu
I miss you
Nimekaa nakufikiria hapa
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days n nights
Nimechoka niko njiani
Inabidi uwe jirani unipe furaha
Kila siku nafungua pazia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani
Natafuta nyayo zako
Narudi nijifariji
Kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki
Ooooh I miss you
Aaah Aaah Aaah Aaah we acha tu
I miss you
Nimekaa nakufikiria hapa
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days n nights
Nimechoka niko njiani
Inabidi uwe jirani unipe furaha
Ooooh tears on my pillow
Nimechoka niko njiani mpeeeenzi