![I Love Myself](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/20/509441fb3d014e6998b6a5444fa61cb8.jpg)
I Love Myself Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2021
Lyrics
I Love Myself - Lady Jaydee
...
I love myself.,Lady jaydee
I love myself
Sina wa kunikwaza
Nipo na wa kuniliwaza
Sijawahi kujidanganya,kujichanganya
Najipenda kujiweka kwanza
Najishika mkono
Kudondoka ni njia na kuondoa fear..
Hata nikikosea najitafakari...
Bila kuchelewa..
Sina wa kuniropokea..
Najipenda mwenyewe na kujitegemea...
Wivu haunisumbui..
Chaguo langu lisikufanye uwe na uadui..
Kioo kwangu hichoo..,
Kioo kinanipa vazi lipi nitupie.
Nauelewa moyo wangu
Thats why i love myself
-chorus—
Kupendeza ndio kawaida yangu..
(Wala shaka sina)
Usipopenda hilo sio suala langu
(I love my self)
Kujipenda hiyo ndio hulka yangu
(Wala shaka sina)
Usipopenda hiyo si shida yangu
(I love my self)
Ni kitunguu tu,nikatapo kinaweza kunitoa chozi..