![Njiwa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M1D/09/6F/rBEezl6CTYaAQcgWAADCdt0d7r8548.jpg)
Njiwa Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2020
Lyrics
Njiwa - Lady Jaydee
...
njiwa peleka salamuuuu
oooo kwayule wangu muhibuuu
njiwa peleeka salaaaamuu
oo kwayule wangu muhibuu
umweeleze afahamu kwamba ninapata tabu
umwelezee afahamu kwamba ninapata tabu
hali yangu mahabubuuuuh
oo oh marazi yameniswibu
hali yangu mahabubuuuuuuh
ooo marazi yameniswibuu
oooh wewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu)
kwayule kwayule (wangu muhibu)
oo wewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu)
kwayule kwayule (wangu muhibu)
ukifika tafathari ooo sema nae taratibu
ukifika tafathari oooo sema nae taratibu
ukisemaaa kwaukalii mambo utayahalibu
ukisemaaa kwaa ukaliii mambo utayaharibuu
kamwambie sina hali ooh kufariki si ajabu
kamwambie sina hali ooh kufariki si ajabu
ewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu )
kwayule kwayule (wangu muhibu)
oooh wewe njiwa wewe njiwa (peleka salamu)
ooh kwayule kwayule(wangu muhibu)
usikukucha nakeshaaaa
oo nayeye ndiye sababu
usikukucha nakeshaaa
ooo na yeye ndiye Sababu
iwapohaajimaisha itamfika aibu
iwapohaajimaisha itamka aibu
pendo langu halijeshaa
oo ndilo lilo niazibuu
pendo langu halijeeesha aa
oooh ndilo lilo niazibuuu
ewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu)
ookwa yule kwayule( wangu muhibu)
oo ewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu )
kwayule kwayule (wangu muhibu)
njiwa usihadaikeeee
ooo nenda ulete majibu
njiwa usihadaiiikeee
oo nenda ulete majibu
nenda upesii ufikeee
mkimbilie swaibuuu
nenda upesi ufikeeeeeh
mkimbilie swahibu
mbele yake utamke eeeeh
ooo ni yeye wa kunitibu uuh
mbeleyake utamke eeeeh
oo oh ni yeye wakunitibu
ewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu)
kwayule kwayule( wangu muhibu)
ewe njiwa ewe njiwa (peleka salamu )
kwa yule kwa yule (wangu muhibu)
peleka fikisha (salamu sangueeeh)
pelaka fikisha (salamuzangu eeh)
peleka peleka pelekafikisha (salamu sangu ee)
nasema peleka fikishaa (salamu sangu eeh)