Siku Hazigandi Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Siku Hazigandi - Lady Jaydee
...
Aiyaiyaiyaiyaiyaiyaaaaaaaa
Yote mlosema,mlotenda nasahau
Nasonga mbele,mangapi iyamesemwa
Mangapi nimeona,
mmmmmh
mliosema aaaah,Nasonga mbele Mangapi
Iyamesemwa ,Mangapi nmeona
(Eeeeh !!!!nmesemwa sana jamani,hamchokiiii!!!)
Iiiiiiii!!!
mlosema mlotenda nasahau
Nasonga mbele, Mangapi Iyamesemwa
Mangapi nmeona
Mmmmmmh
mliosema aaah,Nasonga mbele
Mangapi iyamesemwa
Mangapi nmeona
Mnadhani hamyajali maumivu yangu moyoni na wala hampendi,kwangu yatokee mazuri
Hata nisowategemea, Leo hii mmenigeuka
Hata nilowaheshimu,Leo hii mnanihukumu
Kila mtu Ana dhambi,msijesabie hali
Kusemasema sitaki,hakuna aliyemsafi
Mlosema, mlotenda, nasahau
Nasonga, mbele mangapi, Iyamesemwa Mangapi nmeona,
Mmmh,
Mlosema aaah,nasonga mbele Mangapi
Iyamesemwa Mangapi,mmeona
Mlosema mlotenda nasahau
Nasonga mbele ,Mangapi Iyamesemwa
Mangapi nmeona
Mmmh
Mliosema aaah,nasonga mbele Mangapi
Iyamesemwa Mangapi nmeona
Sijali maneno yenu,kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu,havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu,msotaka kufanya yenu,kunijua sana undani,siwapi tena nafasi
Oooh siku hazigandi,hata mseme mangapi
Kula mtu ana dhambi,hakuna aliye msafi