Nitendee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitendee - Christina Shusho
...
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Nitendee Bwana
Nitendee nalia
Bwana nangoja
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Bwana tenda
Usinyamaze
Oh nitendee
Bwana tenda
Oh Yesu
Kesi yangu ya dharula
Nitendee
Bwana tenda
Bwana usikawie
Nitendee
Ee Bwana
Njoo hima uniokoe
Ee Bwana
Fanya haraka nisaidie
Ee Bwana
Adui animezea mate
Ee Bwana
Ee Yesu
Ataka kuniangamiza
Niokoe
Ee Bwana
"" ""
Wewe mzee wa siku
Naomba usikawie Yesu
Nitendee
Nitendee Bwana
Nitendee
Njoo unifute machozi
Yesu unipe kicheko
Ooh nitendee
Nitendee
Nitendee Bwana
Nitendee
Nitendee Bwana
Nitendee
Ee Bwana
Nitendee
Bwana nitendee
Nina imani nawe
Ee Bwana
Yesu wangu
Hali yangu mashakani
Ee Bwana
Uko wapi nisikie
Ee Bwana
Ushike mkono wangu
Ee Bwana
Nione uso wako
Ee Yesu
Bwana usikawie
Ee Bwana
Njoo upesi uniokoe
Ee Yesu
Bwana
Ooh
"" "
Yesu woyee!
Yesu
Ayee!
Yesu
Ni mzuri sana
Yesu
Yeye anaweza
Yesu
Yeye ana nguvu
Yesu
Aye aye aye
Yesu
Cheza
Twende
Mwite Yesu
Nani Yesu
Aye
Piga kigelegele
Ah
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
Nitendee
Nitendee Ee Bwana
"" ""