![Rafiki Wa Mashaka](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/AB/7D/rBEehlzBhWmAezq0AADRbjSNn3A990.jpg)
Rafiki Wa Mashaka Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2005
Lyrics
Rafiki Wa Mashaka - Lady Jaydee
...
Amenichonganisha (Rafiki)
Anavunja Nyumba (Rafiki)
Kwa uvumi wake (Rafiki hiiiii)
Huyu ni Rafiki wa Mashaka
Amenichonganisha (Rafiki)
Ananipakazia (Rafiki)
Kunipaka tope (Rafiki hiiiii)
Japo nili msitahii
Siri zote ametoa yeye na
uongo amesema yeye
kupakaza mimi sina kitu
kweli huyu Rafiki wa Mashaka ohhhh
najuta (najuta) Amenisaliti kwanini
kwanini nilidhani ni Rafiki oooh
Amenichonganisha (Rafiki)
Anavunja Nyumba (Rafiki)
Kwa Uvumi wake (Rafiki hiiiii)
huyu ni Rafiki wa Mashaka
Amenichonganisha (Rafiki)
Ananipakazia (Rafiki)
Kunipaka tope (Rafiki hiiiii)
Japo nilimsitahi
Naposema sina Rafiki huu ulimwengu
ni yafikini marafiki sio Rafiki wamejawa unafiki unampa unalojua ukizan atalitunza dakika chache tu kupita na zote kashafikisha Rafiki upatapo shida hukwepo kukushika bega naakitoka kukupooza ukigeuka anakucheka kesho kutwa ukipata pesa wakwanza kuyapeleka na kusema eti umekopa huna Uwezo wa kifedha Rafiki
Amenichonganisha (Rafiki)
Anavunja Nyumba (Rafiki)
Kwa uvumi wake (Rafiki hiiiii)
Huyu ni Rafiki wa Mashaka
Amenichonganisha (Rafiki)
ananipakazia (Rafiki)
kunipaka tope ( Rafiki hiiiii)
japo nilimsitahi
Nashangaa bado nashangaa
huyu Rafiki Rafiki gani huyu Rafiki Rafiki gani mwenye roho kama gazeti tena gazeti la ijumaa lisilojua mema ya mtu hunisema kwa mabaya tu kweli mimi eti sina jema Rafiki huyu hana utu anachojali yeye ni pesa
Amenichonganisha (Rafiki)
Anavunja Nyumba (Rafiki)
kwa uvumi wake (Rafiki hiiiii)
Huyu ni Rafiki wa Mashaka
Amenichonganisha (Rafiki)
Ananipakazia (Rafiki)
Kunipaka tope (Rafiki hiiiii)
japo nilimsitahi
Muongo ( Rafiki huyo Rafiki huyoo)
Wa Mashaka (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
mchonganishi (Rafiki huyoo Rafiki huyoo)
ameniponza(Rafiki huyo Rafiki huyoo)
mnafiki (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
kaa mbali nae (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
leo kwangu (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
kesho kwa monika ( Rafiki huyo Rafiki huyoo)
ye ni mdaku (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
mara kwa sitha (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
nasema ni muongo (rafiki huyo rafiki huyo)
mara zingine kwa chifupa (Rafiki huyo Rafiki huyoo)
Rafiki huyooooooo
aah aaaah eeeeh
anhaaa enheeee
luka mwambaaa!