![Muhogo Wa Jang'ombe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/AB/71/rBEehlzBfvCAER0EAADgRuzrqcE18.jpeg)
Muhogo Wa Jang'ombe Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2003
Lyrics
Muhogo Wa Jang'ombe - Lady Jaydee
...
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko
usitukane wakunga na uzazi ungalipo
najita Matina hapa muongo sitonunua haikua Maimuna aliyekwenda ung'oa
kapata Pete kuanga na ungonjwa wa suruba,
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
Kula Dori Kula Dori mshindo wa sufuria
gulili gulili kofia inavuliwa
ndiye Mimi ndiye Mimi apataye ung'oa
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo
Mtu akitaka kufa hakuletei barua hukufa usingizini pasi mwenyewe kujua
kwenda mbio si kupata bure unajisumbua
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo
mkatoage mapege wakati anapokuja aliwe kadhamiri ya kumvulia koja
walahiri nimeghairi Ni umbea na mmoja
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo
kamfunge kamfunge beberu wa athumani
umfunge umfunge pahala panapo Jani
endea tenzi na omo atarejeo ngamani
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo
sinangoa sinangoa kualahiwa siitaaki
Ni mwerevu Ni mwerevu walahiri siadhahiki
bambanua bambanua viwili havipendeeki
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo
muhogo wa jang'ombe sijauramba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo.