![Shukrani ft. Fid Q](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/BF/8A/rBEeM1zBeGiAKs_ZAACN69RhGi8984.jpg)
Shukrani ft. Fid Q Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2001
Lyrics
Shukrani ft. Fid Q - Lady Jaydee
...
Kama wewe ni mzima shukuru Mungu uiuuuuu
Kama wewe wapumua tazama juu enheeee
Kwani wengi hawajaona siku nzuri kama leo
Wengine wameahakufa na wengine wanaumwaa
Matatizo ni sehemu ya maisha tuvumilie yote yatakwisha raha isipite kiasii cha kujiumiza maisha ni nguo ya kuazima ivyo jiazari isije chaniaka
Kwatamaa ya pesa urafiki uvunjika
Natamaa za madaraka ndo uleta vita
Mwanadamu aridhiki hajakamilika
Kama wewe ni mzima shukuru Mungu uiuuuuu
Kama wewe wapumua tazama juu enheeee
Kwani wengi hawajaona siku nzuri kama leo Wengine wameahakufa na wengine wanaumwaa
Tunajua kila mtu atakufa haimaanishi tuache jibidiisha bora upate mimba utulie utazaa kuliko ukimwi kwa kuendekeza zinaa tumuombe mola atujarie maurana atuepushia za dunia rahana
Kama wewe ni mzima shukuru Mungu uiuuuuu
Kama wewe wapumua tazama juu enheeee
Kwani wengi hawajaona siku nzuri kama leo
Wengine wameahakufa na wengine wanaumwaa
MAJI MASAFI KUPITA KIASI SIMO WAHESHIMU WASAMAKI WANASAYANSI WANAOTUATHIRI MATATIZO KILA WAKATI FICHA MOTO KWENYE MTITI LAZIMA MOSHI UTAKUUMBUA KAMA HAUNA KIFUA CHA KUJITOA ILI KUPAMA KWA MAANA HUU NI MTHIANI ILI KUPASS INABIDI UKESHE MIGUU NDANI YA KALAI BORA UZIMA BORA UHAI TUMEAMBIWA NA KUONA MENGI YALETAYO MASIKITIKO MACHO HAYAPIGWI CHANJO NA SIKIO HALINA MFUNIKO NI UKWELI HUJAPATA VYOTE KUNA BAADHI UMEVIKOSA NA VICHACHE NILIVYONAVYO KWA MAMBO YANGU VINANITOSHA HEKIMA NI KUMCHA BEANA KUJITENGA NA UOVU NI UFAHAMU WA HALI YA JUU SANA Kama wewe ni mzima shukuru Mungu uiuuuuu
Kama wewe wapumua tazama juu enheeee
Kwani wengi hawajaona siku nzuri kama leo
Wengine wameahakufa na wengine wanaumwaa X2
Free beat by jide’s frnd Activist