![Nishike Mkono ft. Mad Ice](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/BF/8A/rBEeM1zBeGiAKs_ZAACN69RhGi8984.jpg)
Nishike Mkono ft. Mad Ice Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2001
Lyrics
Nishike Mkono ft. Mad Ice - Lady Jaydee
...
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
Mpenzi tafadhali usiniache mbali
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
Baby tafadhali usiniache mbali (mbali)
Sahau kuhusu mwili nimeshakupa moyo
Na nimekukubali we uwa langu la roho
Upande wowote uendapo
Moyo wangu upo kwako
Wao waseme wasemayo
Nimekuridhia
Kwa moyo
Siangalii pembeni nisije kukukwaza mpenzi
Sitaki penzi la pili
Wewe ndiye wangu wa kweli
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
Mpenzi tafadhali usiniache mbali
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
Baby tafadhali usiniache mbali (mbali)
………………………
Yapata miaka saba
Lakini ni kama forever
Mola amenishushia
Naomba usije badilika
Nakuwa na wewe
Tuangalie ya mbele
Tusije haribu mpenzi wakasema
Kumbe hatuwezi
Kama nilivyoahidi
Katu sitovunja ahadi
Nakukabidhi tena
Moyo wangu ushauteka
(Moyo wangu ushauteka)
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
(Mimi ndiwe wako)
Mpenzi tafadhali usiniache mbali
Nishike mkono kwani mimi ndiwe wako
(Nishike mkonoo)
Baby tafadhali usiniache mbali (mbali)
Written by joshmanlolinda