![Siku Hazigandi](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/BF/8A/rBEeM1zBeGiAKs_ZAACN69RhGi8984.jpg)
Siku Hazigandi Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2001
Lyrics
Siku Hazigandi - Lady Jaydee
...
Mmmh...
Aiya yah yah yah yah yaah
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema, aaah
Nasonga mbele mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
(Aih!! Nimesemwa sana jamani, hamchoki?)
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema
Aaaah
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Verse 1]
Ninadhani hamjali
Maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi
Kwangu yatokee mazuri
Haata nisiowategemea
Leo hii mmenigeuka
Haata nilio waheshimu
Leo hii mnanihukumu
Kila mtu ana dhambi
Msijihesabie haki
Kusemwa sеmwa sitaki
Hakuna alie msafi
[Chorus]
Yote mlosema, mlotеnda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema
Aaaah
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema
Aaaah
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Verse 2]
Sijali maneno yenu
Kwani kuna hata magazeti
Sijali visa vyenu
Havifanani vya ukweli
Ni potofu fikra zenu
Msokaa kufanya yenu
Kunijua sana undani
Siwaapi tena nafasi
Ooh siku hazigandi
Hata mseme mangapi
Kila mtu ana dhambi
Hakuna alie msafi
[Verse 3]
Nadhani... (nadhani)
Nadhani hamyajali
Maumivu yangu moyoni
Na wala hampendi
Kwangu yatokee mazuri
Hata nisiowategemea
Leo hii mmenigeuka
Hata nilio waheshimu
Leo hii mnanihukumu
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema
Aaaah
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
[Chorus]
Yote mlosema, mlotenda nasahau
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona
Mmmh mliosema
Aaaah
Nasonga mbele Mangapi
Yamesemwa mangapi nimeona