![Boyfriend Wa Dar](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/2C/AC/rBEeqFvyTMyAH566AAErZK0S7J4502.jpg)
Boyfriend Wa Dar Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Sio wangu mimi bali wa Dar es salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae
Yaani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es salaama nzima
Nawaambia kwani nimekutana nae
Kwa ahadi nyingi muda nikamuazima
Anapenda wengi huyo penzi langu kalizima
Si wa kumlilia eti
Anatia aibu huyo jamani
Tena kuna na mshkaji wangu wa Mbezi
Alimkuta na shangazi
Wanajidunga Johnie Walker na Beer
Sio wangu mimi bali wa Dar es salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae
Yaani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es salaama nzima
Bibie Suma atoke sijui nani apande
Huyu nae aende, ili mwingine aje
Namkumbuka Ananda aliokoka
Changanyikiwa akawa kama mateka
Uuuuh Baby wa Dar es salaama ooh ohh
Sio wangu mimi bali wa Dar es salaama
Kila binti mjini yeye anapita nae
Yaani kila kona kama atembea uchi
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es salaama nzima
Hata yule Shani alikutana nae
Pete kamvisha na kamdunga mimba
Muda si mrefu yu karibu kujifungua
Kapata habari
Bwana yule anaona kwingine
Namkumbuka Khadija kawa cha pombe
Changanyikiwa akawa kama mateka uuh
Baby wa Dar es salaama oooh
Sio wangu mimi bali wa Dar es salaama
Kila binti mjini yeye amempa mimba
Pita kila kona watoto humuita baba
Nilidhani wangu kumbe wa Dar es salaama nzima
Wa Dar es salaama
--- www.LRCgenerator.com ---