SIJAONA Lyrics
- Genre:Blues
- Year of Release:2024
Lyrics
SIJAONA - Prince Cloudy de Sultan
...
aah
mmmhhm ee yeah
....
Cloudy (Sauti ya Gharama)
aaah eeih
ilianzaga tu utani utani
video call usiku wa manane
yani dah napendwa
nyie nimempata mwandani
ananijulia oo mimi
yani aah ananipenda
zile kwichikwichi kitandani
na maufundi ya Kipwani
akinitachi oo honey napagawa
nitake nini jamani
nimeganda kwake hayuni
akinitachi oo honey napagawa
aaah
sijaona kama yeye
....
mmhmm
aaah
eee ee
mmmh
unavyoitikia unavyolialia
ukiiangalia ukiikamatia ukiishikilia
unanikosaha
usijenikimbia kwa wengine kujiendea
moyoni nitaumia mwenzio nitajifia
sitaki kuwazia
kukukosa
nataka nikupeleke nyumbani
waone mahasidi walosema mi nawe hatuendani
na hata wakitaka tuachane
waambie haiwezekani mana mi nawe hadi kesho peponi
aaah
zile kwichikwichi kitandani
na maufundi ya Kipwani
akinitachi oo honey napagawa
nitake nini jamani
nimeganda kwake hayuni
akinitachi oo honey napagawa
aaah
sijaona kama yeye (bado bado)
sijaona kama yeye (wala sijaona kama yeye)
sijaona kama yeye (sijaona sijaona)
sijaona kama yeye
(aah sijaona kama yeye)
(sijaona kama yeye)