![MSINIFOSI](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/12/516ed4e457d94e859c19dcf0bf6d46ccH3000W3000_464_464.jpg)
MSINIFOSI Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
MSINIFOSI - Prince Cloudy de Sultan
...
la la la la la la
la la la la
eti kwa mapenzi
ning'ang'ane ivo
aaih siyawezi
siyataki ng'o!
yana ushenzi
yanaliza watu ivo
aaih siyawezi
siyataki ng'o!
nikuite lazizi
baby sweetheart
na nikikosa
utamu sipati
kwanza mapenzi
daily ni kuchati
kazi za kanisa aah
ndio sizitaki
anipande kichwani
eti nirudi muda flani
aah haiwezekani
bora nibaki single
anipande kichwani
eti nirudi muda flani
aah haiwezekani
ooh la la la la
la la la la la la
la la la la la la
.....
msinifosi mapenzi mimi sio wenu
sijakula chenu
sijalala kwenu
kwanza mapenzi
wala sio muhimu
yatakutia wazimu
mwisho unywe sumu
sitaki aje laumu
eti nakwepa majukumu
maisha yenyewe magumu
si mnaona
mara vijora visimu
lotion za maji ya ndimu
uchumi wenyewe mgumu
ooh la la la
nikuite lazizi
baby sweetheart
na nikikosa
utamu sipati
kwanza mapenzi
daily ni kuchati
kazi za kanisa aah
ndio sizitaki
anipande kichwani
eti nirudi muda flani
aah haiwezekani
bora nibaki single
anipande kichwani
eti nirudi muda flani
aah haiwezekani
ooh la la la la
la la la la la la
la la la la la la
....