ABADAN (SIO SAWA) vocal Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2024
Lyrics
ABADAN (SIO SAWA) vocal - Prince Cloudy de Sultan
...
siha bora jambo jema
katuhimiza Nabiya
kujali na kupendana pia kasisitizia
ufisadi na dhuluma katukataza ye pia
uhaki nao usawa katufunza ya Nabiya
ila wapo waso maana mafunzo wanapuuzia
wanapotoa huduma sio kwa haki na usawa
wanajawa na tamaa huduma wanapotoa
wenye nazo hujaliwa waso nazo huumia
dawa nazo hupotea pembezoni huingia
uhitaji kiwadia ndipo waanze wauzia
abadan sio sawa
abadan sio sawa
abadan sio sawa
abadan sio sawa