![MTENGENEZE (Acoustic Version)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/21/99bacdb275cb4184ad11ced137d9c812H3000W3000_464_464.jpg)
MTENGENEZE (Acoustic Version) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
MTENGENEZE (Acoustic Version) - Prince Cloudy de Sultan
...
hello bibi
u hali gani
vipi huko kijijini
na kina mjomba Shabani?
afu bibi
na kuhusu kilingeni
hivi yapo yale majini
faamasiara nnini!
nilituma nauli na ya kutolea
ila yeye hakutokea
yani alinizingua
tena simu akanizimia
WhatsApp akanibloki pia
alinizingua
nataka
avuje mwezi mzima
alonaye awe kilema
akifanya tendo anase tu
we bibi, mtengeneze
basi fanya ile mambo
mtengeneze
tia nawaitu mafusho ukoleze
mtengeneze
kwako haliharibiki jambo
mtengeneze
mmmhmm
akizidi tuma jini kausha
azidi kauka
kongoro abaki mifupa
ikibidi bibi tunisha
wenyewe watazika
mbwa yule amenchosha
ama tumpe kengeza
tuone atapendwa na nani
miguuni matege ongeza
yani achunde kama miwa ilopandwa nje ya choo
asieleweke palipo kalio wala kiuno
nataka
avuje mwezi mzima
alonaye awe kilema
akifanya tendo anase tu
we bibi, mtengeneze
basi fanya ile mambo
mtengeneze
tia nawaitu mafusho ukoleze
mtengeneze
kwako haliharibiki jambo
mtengeneze
aaah
mtengeneze
basi fanya ile mambo
mtengeneze
tia nawaitu mafusho ukoleze
mtengeneze
kwako haliharibiki jambo
mtengeneze
mtengene...
mtengeneze
mtengeneze
...