![Taniuwa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/30/abaca7a57d3a414997f1171ab2901453_464_464.png)
Taniuwa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Taniuwa - Prince Cloudy de Sultan
...
mmmh...
kwa unavyoniona
sitaki penzi la kubanana
kitumbua chako ki danadana
chaingia vumbi la kila kona
mwanamke gani huna heshima
mpaka jirani mangi ni wako bwana
kusheashea na kila bwana
mimi siwezi
umeniboa
mi najitoa
ninakohoa
umechachuka chachu
ninakuopoa
tena kifungoni najitoa
mimi kisiki nang'oa
nimekutika
ooh wewe
taniuwa
wewe kisepe
taniuwa
ooh mie
bora nisepe
kwa zako hila
taniuwa
we lila mi fila
taniuwa
ooh mie
bora nisepe
walikuharibu majirani
nayajua
unajifanya muhuni
we mama we
unayofanya hufanani
utajiumbua
husikii la muadhini
wala la mnadi sala
uliniacha mwandani
ulidhani nitakomoka
Pole sana jirani
ndio nazidi kuimarika
ulofanya zamani
nkifikiri nahisi tapika
ulinifanyia mimi haya
una roho mbaya
sisemi kwa ubaya
ulinichezesha kwaya
kwa mapenzi nkapagawa
Leo mimi nakumwaya
na ulivyokosa aya
unadangadanga mbaya
yamenishinda haya
Leo mimi nakumwaya
umeniboa
mi najitoa
ninakohoa
umechachuka chachu
ninakuopoa
tena kifungoni najitoa
mimi kisiki nang'oa
nimekutika
ooh wewe
taniuwa
wewe kisepe
taniuwa
ooh mie
bora nisepe
kwa zako hila
taniuwa
we lila mi fila
taniuwa
ooh mie
bora nisepe
ooh wewe
ooh wewe
ooh wewe