![Vibaya](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/13/3ec5ce0239bd49babe73c76104163e6b_464_464.jpg)
Vibaya Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Vibaya - Prince Cloudy de Sultan
...
mmmh Cloudy Prince of da best artists (verse 1) we si ulisema mi nna sura mbaya kuniposti huwezi eti aa unaona haya mama kiukweli nilijihisi vibaya masnap mafilter basi we haya kuninanga kwa watu sio poa inauma mwenzio naugua ungenambia aaa mi na we hatuwezi ningelijua aaa nisingelazimisha penzi (bridge) X 2 basi nistiri mwenzio nsijeangua kilio unavyonifanyia sio (chorus) vibaya hivyo, mmmh vibaya hivyo, mmmh vibaya, vibaya hivyo, mmmh mmmh, vibaya hivyo, eee aaa vibaya aaa (verse 2) hayo yote sawa nimeamua kuridhia mana we ndio dawa maradhi kunitibia mi nimepagawa na sioni sawa mana nimepwaya aaa uuu (bridge) X 2 basi nistiri mwenzio nsijeangua kilio unavyonifanyia sio (chorus) vibaya hivyo, mmmh vibaya hivyo, mmmh vibaya, vibaya hivyo, mmmh mmmh, vibaya hivyo, eee aaa vibaya aaa