KITAKURAMBA Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
KITAKURAMBA - Prince Cloudy de Sultan
...
Niite Cloudy
Sauti ya Gharama
Mmmh
Prince of da Best Artists
Saaleykum we dear ex
Mbona swahiba umekondeana?
Ama zimezidi stress?
Maana sio kwa ulivyochundiana
Saivi umekuwa paka la baa
Watu si tunakushangaa
Yani we
Umefubaa
Umechakaa
Oya wee
Mkorogo umekukataa
Ulivyo yani kama mzuka
Yani we
Umefubaa
Umechakaa
Oya wee
Nilonae nampenda wallai
Sitomuacha until I die
Nikiwa nae mimi nafurahi
Wallai
Mmh
Kama nazi uso tui
Umekosa maana
Kimekuramba
Unachochezea hukijui
Na mi nasema
Kitakuramba
Kama nazi uso tui
Umekosa maana
Kimekuramba
Unachochezea hukijui
Na mi nasema
Kitakuramba
Hivi kukuonea huruma
Kunafanya unajiona superwoman
Wakati huna mbele wala nyuma
Umekakamaa
Unaringa kama we umepima
Wakati sura sio nyani wala sio kima
Yani we mvuto huna
Umechunda
Kama ni ndoto msiniamshe mniache nilale
Mana mtoto wa mamamkwe ameniweza
Nilonae nampenda wallai
Sitomuacha until I die
Nikiwa nae mimi nafurahi
Wallai
Mmh
Kama nazi uso tui
Umekosa maana
Kimekuramba
Unachochezea hukijui
Na mi nasema
Kitakuramba
Kama nazi uso tui
Umekosa maana
Kimekuramba
Unachochezea hukijui
Na mi nasema
Kitakuramba
Kitaku
Kitaku
Kitakuramba
Kitaku
Kitaku
Kitakuramba
Kitaku
Kitaku
Kitakuramba
Kitakuramba