![Unichum](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/10/980acefcfd494cd7ae3a929a231d5608_464_464.jpg)
Unichum Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2024
Lyrics
Unichum - Prince Cloudy de Sultan
...
Cloudy
Sauti ya Gharama
Prince of da Best Artists
Huba lako oo baby maridhawa
Mi mwenzako ni ka nimepagawa
Pekeako najihisi kama chawa
Mi mwenzako...
Ona anacheka
Anajuwa kudeka
Akinishika
Napagawa
Namalizika
Akinishika
Mmmh...
Hana kiburi
Hana jeuri
Anajuwa shughuli
Na ndio maana
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Oo baby
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Nitamlinda kama boxer
Akiwa na tobo msijue
Na sitaki kumkosa
Jichanganyeni niwaue
Nampenda
Namtaka
Sitomtenda
Nimekwama kwake
Kwake
Jamani msinipokonye
Maana ndo huyuhuyu
Nyi msinipokomye
Naona ndo huyuhuyu
Hana kiburi
Hana jeuri
Anajuwa shughuli
Na ndio maana
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Oo baby
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Nakupenda nakupenda
Sema kweli nakupenda
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Unichum chum
Mwaaa
Unichuchu chum
Mwaaa
Mmh...