![NIKOJE](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/28/4c352bde5b94456186272b3d27070074_464_464.jpg)
NIKOJE Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
NIKOJE - Prince Cloudy de Sultan
...
Mwenzenu sjui nikoje nikikopa silipagi
Ata sjui nikoje nkiomba sirudishagi
Nshakopa sana madeni ya vikoba
Ila nkidaiwa daily ninasema ngoja
Nshaomba sana viwalo vya swagga
Ila nkipewa inachanika...
Ntarudishaje? Imechanika ntarudishaje?
Nitaishije? Bila madeni mi nitaishije?
Skuizi sipiti na kwa Mwan'juma mana kule tena sina maana
Yani nshakopa sana mpaka nshageuzwa jina...
Nikoje? Nikoje? Nikoje? Sjui nikoje?
Nikoje? Nikoje? Nikoje? Mwenzenu nikoje?
Nikoje? Nikoje? Nikoje? Sjui nikoje?
Nikoje? Nikoje? Nikoje? Mwenzenu nikoje?
"Wanakwambia kama kawa kama dawa. Lazima madeni mjini mana hata serikali inadaiwa. We kataa na hii tuone sasa. Hapana..."
Sa mbona niogope madeni kwani yameumbiwa mbuzi?
Sa mbona niogope madeni mimi mtoto wa Uswazi?
Kama una madeni piga kelele,
Kelele moja (eeh) kelele mbili (eeh eeh)
We kama una madeni piga kelele,
Kelele moja (eeh) kelele mbili (eeh eeh)
"Kataa na hii tuone sasa..."