![UNGESEMA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/15/cf9d56e949ca4403a691b2b8ccb1f541H3000W3000_464_464.jpg)
UNGESEMA Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
UNGESEMA - Prince Cloudy de Sultan
...
Cloudy
Sauti ya Gharama
mi mwenyewe bwagashanchakashe
hapo sikatai
sa mbona ulinikubali
na ulijuwa kuwa sina mali
kula yangu mi mpaka nikopeshe
haku sikatai
si ulisema "alla kulli hali"
mpaka atutenganishe jalali
sa umeniacha
wananicheka jirani
mimi masikini
yani sina sinani
penzi limechacha
limevunda la ubani
oo mimi masikini
yani sina amani
basi ungesema mi nawe hatuendani
ungenipa tahadhari mi nawe hatuendani
basi ungesema mi nawe hatuendani
ungenipa tahadhari mi nawe hatuendani
(instrumental)
......
siku ina masaa ishirini na nne
ila kwangu themanini na nane
siku ndefu ndefu haiishi
akili ipo mwanemwane
natamani japo tuonane
yangu hofu hofu iniishe
ungefanya na subra labda mbele iko sawa na Mungu
hukuiamini kudra mwenzangu ukanipiga kiwingu
ungefanya na subra mbele iko sawa na Sir God
hukuiamini kudra we mwenzangu
sa umeniacha
wananicheka jirani
mimi masikini
yani sina sinani
penzi limechacha
limevunda la ubani
oo mimi masikini
yani sina amani
basi ungesema mi nawe hatuendani
ungenipa tahadhari mi nawe hatuendani
basi ungesema mi nawe hatuendani
ungenipa tahadhari mi nawe hatuendani
oooh
mmhmm
....
aaah
oooh
mmhmm