Mpaka Lini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mpaka Lini - Prince Cloudy de Sultan
...
Cooltouch Music
mmmh...
mmh...
natoak kuhangaika tafuta najua yani mchana kutwa
riziki sijapata nyumbani kuleta japo visenti sita
mama naye taabani dawa nazo hajapata
ndugu nao hawapo shuleni yani karo pia sijalipa
tangu baba aondoke
mimi ndio wa kutegemewa
nami sina chochote
muziki ndio nautegemea
natamani niomoke
familia kusaidia
Mungu Baba nishike
wewe ndio nakutegemea
mpaka lini?
mpaka lini ntabaki mimi kusubiria?
mpaka liki?
mpaka lini bahati yangu itanifikia?
mpaka lini?
mpaka lini vya watu mi nitaviangalia?
mpaka lini?
iiiiiii
usiku wa manane
mvua yaingia kwenye kibanda
na mbacha nsogezane
mana sina hata kitanda
jua lichomozane
kumekucha sijui pa kwenda
riziki ntafutane
asilie kaka kitinda mimba
eti riziki mafungu saba
hata moja sijapata
naona dhiki imenikaba
nazidi kutapatapa
marafiki nao wamenimwaga
sina pa kushika
habahaba haijajaza kibaba
tangu baba aondoke
mimi ndio wa kutegemewa
nami sina chochote
muziki ndio nautegemea
natamani niomoke
familia kusaidia
Mungu Baba nishike
wewe ndio nakutegemea
mpaka lini?
mpaka lini ntabaki mimi kusubiria?
mpaka liki?
mpaka lini bahati yangu itanifikia?
mpaka lini?
mpaka lini vya watu mi nitaviangalia?
mpaka lini?
oooh
mpaka lini?
mpaka lini ntabaki mimi kusubiria?
mpaka liki?
mpaka lini hiyo mpaka lini hiyo?
mpaka lini?
mpaka lini mpaka lini hiyo?
mpaka lini?
aaaaooo
uuuuuu
mmmmh
aah
mmmmh