![Wanaume Kama Mabinti](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/18/FC/rBEezlthuMmAX-ZsAADycZxm390875.jpg)
Wanaume Kama Mabinti Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Wanaume Kama Mabinti - Lady Jaydee
...
Mnakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Kila upande mnafiti siku zinaenda vichwa vimejaa ufitini wanaume kama mabinti
Ninaposema wanaume simaanishi wote ila wale wenye tabia kama za mabinti
Utawaona kwenye magari ya mademu zao
Wakitanua na kucheka utadhani yao hupenda kuwaliwaza wanama watu wazimaa
Hawana mapenzi ya kweli wanapenda pesa
Nikisema wanajiuza katu sitakoseaa
Tuwatofautishije hawa na machangu doa?
Mnakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda
vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Sema sema sema haki yako Jaydee
Tembo kuvaa vipusa ni hali haki yako zaidi
Siwezi danganya sina upendo upande nilipo marafiki, ndugu mwisho wa wiki
Hatuwezi kuwa washkaji kama unamoyo wa plastiki
Ambwene aliona usoni kama watu (usoni kama watuu moyoni unafki mtupu) moyoni unafki mtupu
Siyo kuparty siyo kuvaa
Tegemezi mpaka mkwanja wa condom
Sikufahamu hii ni simple zaidi ya kumyatia kiziwi
Wanaume gani hamuelewi milupo wa kiume nyie
Nataka muache kumtazama yani nataka muone
Najidanganya mwenyewe na inakolea zaidi ya mnavyodanganya wengine
Sizuii msifanye mfanyayo
Tunafikiri kwa ubongo na siyo unyayo
Inshallah inshallah kibao bila maisha kuyafata kwa mbio ujinga huo
Kusanya mawazo yenu na naacha Mungu awalaumu
Binamu
Manakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Kila upande mnafiti siku zinaenda vichwa vimejaa ufitini wanaume kama mabinti
Ukiwakuta kwenye vikao ooh vya pombe
Eti wao wasemaji wanajua yotee
Hawatoi hata senti ya kulipa bili
Ikifika zamu yao huenda msalani
Kwa ukuwadi namba moja wao spendaa
Wanaopenda kuwaliwaza mademu wa wenzao
Shoga zangu hebu leteni magauni tuwavishe
Hijabu tuwafunge na vimini vitovu tuwaazime
Manakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Kila upande mnafiti siku zinaenda vichwa vimejaa ufitini wanaume kama mabinti
Umeona wapi mwanaume kunyweshwa pombe
Hivi tangu lini dume zima likasukwaa
Umesika jana Hassani kaja kitchen party
Mashallah
Mnakula kunywa na kuvaaa
Siku zinaeenda vya bure hupenda kupewa wala hamna fikira
Kila upande mnafiti siku zinaenda vichwa vimejaa ufitini wanaume kama mabinti
Written by joshmanlolinda