
Teja Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Teja - Lady Jaydee
...
Waweza kua kituko, ugeuke kichekesho,
Wakati mtu mzuri, penzi likakubidili,
Sumu niliyoimeza, sijui ni sumu gaani, nimefanya naloweza na bado ni taabani
Nimeshakunywa maziwa ,sumu sijaitipika
Akili haifikirii , imekumbwa kitu gani
Nina zunguka zunguka
Nina tembea tembea
Nina ongea ongea
Hata sijieliwi
mimi Nimekua teja, teja wamapenzi,
ooh nimebwia unga oooo sijiwezi,
mimi nimekua teja, teja wampenzi,
uuh nilobwia ungwa sijui ni aina gani.
Kumbe mapenzi ni sumu kumbe mapenzi uteja
Hasa yakiwa magumu, unageuka kioja.
Namimi sijifahamu nimeenda kila rehab,
Nikipona narudia, nakuyaaacha nimeshindwa.
Nina zungukazunguka
nina tembea tembea
nina ongea ongea
hata sijieliwi,
aah nimekua teja,
teja wamapenzi,
ooh nimebwia unga
oooo sijiwezi,
mimi nimekua teja,
teja wamapenzi,
uuh nilobwia unga sijui ni aina gani.
Nilidhani natafuta,
na kumbe ninaanguka(nmekua teeeja)
Sumu ilinipa maradhi (balaaa) Na bado inanizidia,
Pesa zenyewe hakuna, na bado nakimbilia,
Kumbe mapenzi uteeeeja,
eeeeeh uteja.
Nimekua teja, teja wa mapenzi,
Jamani nimebwia unga, ooh sijiwezi.
Mwenzenu nimekua teja, teja wa mapenzi,
sijui nilobwia unga sijui ni aina gani,
teja ni hoi taaaban, teja wa mapenzi.
teja ni hoi kitandani oooh sijiwezi. jamani nimekua teja, teja wa mapenzi.
kumbe nimekua teja ah aah sijui ni aina gani...