
Machozi Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
Machozi - Lady Jaydee
...
Lady jay dee
Nimekaa nafikiriii
baadaye ninagunduaa
kwamba hutorudi tenaa, sitokuwa nawe tenaaa
Lakini najipa moyoo, nionee kama ni ndotoo
Kwani matone ya machozii, ni zaidi ya milionii
Machungu tele moyoni, kweli nimejaa hofu
sina tofauti na mpofu, hata njia siioni
Nani wakunifuta machozi, moyoni nina majonzi
Sina tofauti na mpofu, kwani haataa njiiaa siiiiooooniiii iiiiii aaah
Chorus
Nailazimisha furaha ingawa moyoninamajonzi, nani wakunifuta machozi
umeondokaa umekwenda mbali
Nailazimisha furaha ingawa moyoninamajonzii
Nani wakunifuta machozii
umeondokaaa umekwenda mbali
Verse
Maumivu tele moyonii pale ninapogunduaa
kuwa si ndoto bali kweli