
Maisha Ni Mafui Mno !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
sportpesa ni kitendawili kigumu kufumbua kweli
Kila mara nkiucheza naona kama niko karibu kushinda mamilioni ya pesa
Matokeo yakija nano kama nipoteza mechi moja pekee
Nkaona kama iko siku nita shinda hiyo mechi moja
Wakati uliopita niliuza piki piki
NIlamaliza pesa hizo kabla ya kushinda
Wakati mmoja nikashinda pesa chahe mno
Nikaona kama nikirudia kucheza kama vile nilivyo cheza wakati huo nitashinda
Ole wangu siku shinda pesa hizo zote zikachukuliwa
NIligundua kitendawili hiki ikiwa huu mchezo umenifilisi
Nikitendawili kigumu sana kugifumbua