![Bahati Yangu !!!](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/d3cd3d6af9384a35afa649b4193d43f8_464_464.jpg)
Bahati Yangu !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Haamini kama naweza Kujipatia hela
KIla siku Nkirudi kutoka sokoni ananishangaa
\
Anabaki akiwauliza watu kule ninapopata hela
Kumbe mimi hula jasho langu
Mimi si mhuni
Mimi si mwizi
Sina neno na mtu
Wala sitamani cha mtu
Na ridhika na changu nilicho nacho