![Ufukara Umenizonga !!!](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/d3cd3d6af9384a35afa649b4193d43f8_464_464.jpg)
Ufukara Umenizonga !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Maisha ni mafupi mno
masaa ishirini na manne nna sikusaba kwa juma hayanitoshi
Miradi yangu inahitaji muda zaidi ya masaa ishirini na manne na siku saba za wiki
Nina mambo mengi yanayohitaji niyatimize maishani mwangu
SIna wakati wa kushiriki kwenye Umbeya na na mengine ya mtaani
Naepuka balaa hii mimi
Heri niutumie wakati wangu kwenye miradi itakayo nifaa maishani zaidi ya kuwekeana chuki na kisasi na majirani wangu
Maisha ni mafupi mno
sina wakati
Tahadhjarini ibilisi asiwa kwae