![Anapenda Mchezo Wa Yoga Mno !!!](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/d3cd3d6af9384a35afa649b4193d43f8_464_464.jpg)
Anapenda Mchezo Wa Yoga Mno !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Huyu jirani mgeni anashangaza Mno
Yeye Hupenda sana kufanya mazoezi ya kuiweka afaya yakumpa Afaya nzuri
Yeye hufanya mazoezi Usiku wote
Hata Ukiamka Saa tisa usika ,unampata akiwa kwenye shughuli
Wakati watu wako usingizini yeye angali macho
Unaupenda Mchezo Unaoitwa Yoga Muno
Jirani huyu anashangaza muno
Hawazi Kuhusu mambo mengine maishani
Yeye hushughulika kwa muda mfupi muno halafu akarudi kwe shughuli hiyo
Watu wana mila mbali mabali huko Uswahilini
Waswahili wengine huwa wanamuwazia kombo
Wanaona kama ni uchawi
Wangejuaje kwamba ni mchezo wa Yoga
Imekuwa Balaa HII