Malimwengu Ulimwenguni !!!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Hawa jamaa ni majirani huko mitaani
MMoja wao Kila mwisho wa mwezi huwa anashambuliwa na kunyang'anywa kile ambacho atapatikana nacho mfukoni
Kumbe Kila jioni mmoja wao anapo piga hesabu zake mwenzake huwa ananmsikiliza na kujua halafu akamnyemelea nakumnyang'anya pesa zake zote.
Hakuwa na namna yoyote ya kujua kwamba ni yule jirani wake aliye kua akimnyemelea na kumnyang'anya pesa zake kila mwisho wa mwezi yeye alidhani kwamba ni majambazi kutoka mbali
Baada ya kuzoea Kudhulumiwa aliamua kupanga namna ambavyo angejitetea
Aliamua Kununua kisu
Alikua amekwisha gundua mbinu za yule mwizi
Mwizi alimzoea
wakati huo alim vamia kama kawaida
alimdunga tumboni Vibaya mno
Hakuweza Kupona
Alipata matanga kwa jirani yake Aliporudi kutoka kazini siku iliyofuata
Ndipo alipomgundua Jirani wake